Search This Blog

Thursday, November 3, 2011

Ladies and gentlemen am back to the busness

i welcome ideal, opinions etc. call me through +255 756 704 834 or +255 715 704 834 or email me through silver24oct2008@yahoo.com

Saturday, April 30, 2011

KITU CHA FACE BOOK KIMEHARIBU JUU, CHINI, NA PALE KATI! EBU KITUPIE HIKI AKILINI KWANZA!!

Hata bi. Mkubwa yupo hapa kati kila siku tunapiga story kwenya facehook

THE ROYAL WEDDING BABAAAAKE!!!!!!!!

I think they were the best dressed invited guests. David and Victoria Beckham...those Louboutins! Tsk tsk


And finally they are out!

They are officially The Duke and Duchess of Cambridge.

"Just Married" Prince William (Duke of Cambridge) leading the way, driving his wife out of the palace.

Prince William and Prince Harry, the best man.

  
Dad walking her down the aisle

Little difficulty getting the wedding band through...

from the moment i mate you i knew that love will be, and for the first time you spoke my name i knew everything will change and that i wanted in my life! ooooooh baby I LOVE YOU and before pastor WILL YOU KINDLY MARRY ME??......................... YES I DO!!  makofi tafadhali.......

MMMHHUUUUUUU!!!! They KISSING!! Very beautifull! 

When Prince William arriving in Westminster Abbey

From a 'commoner' to a Duchess!

 

Thursday, April 14, 2011

Airtel yazidi kuhimarisha mawasiliano vijijini! na sasa nizamu ya SAMUNGE- LOLIONDO kwa babu!!

Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu ya Mkononi kutoka Airtel, anayemkabidhi ni meneja wa biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha, Paschal Bikomagu. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Bw Elias Wawa Lali.

GET YOUR PIECE NOW!!! CALL NUMBER 0715 704 834 OR 0765 268711

Classic sandals from Maasai market, Arusha! is now available in Iringa for a very special price! 

Easy, Cheap, Simple but last longer!!! Purchase by calling 0715 704 834 or 0765 268711. NOW!  

Tuesday, April 12, 2011

ACHOMWA MOTO BAADA YA KUIBA VITI HUKO MBEYA

Mtuhumiwa akipigwa mawe na wananchi wenye asira kali jijini mbeya
hapa ni mbele ya vidhibiti hakiwa hajielewi katikati ya tairi tayari kwa kuchomwa moto!
 
yale aliyokuwa akiyatafuta kwa njia isiyo ya halali ndiyo yanaishia hapa! masikini kijana!


MSWADA WA KATIBA WACHOMWA MOTO ZENJI!

 Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Hamad Mussa Yussuf , akichoma moto mswada wa sheria ya kuanzisha Tume ya kurekebisha Katiba Tanzania leo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.

Monday, April 11, 2011

Hakuna Mmbongo utamkaribisha chips vumbi akazitolea nje, wakati mwingine wala hana haja na karibu yako, hii Tanzania bwana, wajamaa sie, binadamu wote ni ndugu kwa hivyo kama wewe unatamani chipsi vumbi na yeye atakuwa anatamani pia, hatakuwa amefanya jambo baya akivamia chips zako kabla ya karibu toka kwako.

Utafiti wa kisayansi umechapishwa katika jarida la Journal of Neuroscience. Utafiti huu unasema una uwezekano kuwa umegundua sababu ya mimi na wewe kupenda sana chakula hiki cha bei rahisi na cha haraka (fast food) japo hakina mchango wa kutosha kwa afya zetu zaidi ya kutuacha na vitambi na mashinikizo ya damu. Wanasema jibu la swali hili ni CHUMVI.

Walioendesha utafiti huu walitumia panya wa maabara na kuwaweka katika makundi mawili. Kundi la kwanza wakachomwa sindano yenye chumvi nyingi, na kundi la pili hawakupatiwa chochote. Halafu watafiti hawa wakawafanyisha panya hawa kazi zenye kuleta msongo mkubwa wa mawazo (stress). Walipokuja kupima ubongo wa panya wa makundi yote mawili wale wa waliochomwa shindano ya chumvi walionekana kuwa na msongo mdogo zaidi ya wale ambao hawakuchomwa.

Kuna uwezekano mkubwa sana watu tulio katika nchi za dunia inayoitwa ya tatu tukawa tunaguswa moja kwa moja na utafiti huu. Wengi ya watu wanaofanya kazi, hasa za kuajiriwa, wanao msongo mkubwa sana wa mawazo, na wengi wetu huku maofisini hatuna chakula kingine tunachokila kwa wingi kama chips vumbi. Huenda chumvi ndio inayotusaidia kupambana na karaha za mabosi wetu, wivu wa kipumbavu wa wenzi wetu, matusi ya makonda kwenye daladala, habari mbayambaya kila siku kwenye magazeti, televisheni, na hata intaneti. Tunajikuta tukihitaji 'chumvi yenye chips' ili kupambana na misongo hii ya mawazo inayotuzunguka.

Lakini watafiti hawa pia wanasema raha au nafuu kwenye ubongo wako ni moja tu ya sababu inayokufanya upende chips ambazo zinakuwa na chumvi (wanachosema hapa ni kwamba unapenda chumvi na sio chips, lol!).

Hebu leo jaribu kula chips bila chumvi halafu uone kama utazipenda. Kuna hatari kubwa kwamba tunakula chumvi kupindukia, na haishangazi kwa nini leo katika jamii yangu na yako tunao watu wengi wenye umri mdogo ambao wanaugua magonjwa makubwa kama shinikizo la damu. Tutazame upya lishe yetu.
 

BILIONEA MMAREKANI STAN KROENKE AINUNUA ARSENAL LEO

Bilionea huyu ameinunua club ya arsenal leo kwa pauni 731 katika dili lililokamilishwa jijini London. Habari zinasema kuwa wapenzi wa club hiyo wamefurahi sana kwani wanja la Emirates sasa lapata mtu wa uhakika ambapo kabla ya kununua club hiyo ndiye aliyekuwa akishika hisa nyingi katika club hiyo 

Wednesday, March 23, 2011

KUNDI LA FIVE STARS MODERN TAARABU LILILOPATA AJALI MKOANI MOROGORO

  
kundi hili lilipata ajali lilipo kuwa litokea mkoani ruvuma kufanya show! watu takribani watano wahofiwa kupoteza maisha

Thursday, March 17, 2011

Wednesday, March 16, 2011

BANANA ZORO AFUNGUKA

Utata kuhusu vyombo vya mziki  vilivyotolewa na raisi Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii nchini , umechukua sura mpya baada ya chama cha Tanzania Fleva Unit (TFU) kujitokeza na kudai kuwa vyombo hivyo viko chini  yao na hakuna msanii yeyote aliyekatazwa kujiunga na chama hicho.
makamu mwenyekiti wa chama hicho Banana Zorro amesema vifaa hivyo nipo chini yao ikiwa ni pamoja na m tambo wa kufyatulia CD ambavyo vimehifadhiwa sehem na sasa tayari wameshampata producer kutoka uingereza ambae ni mtaalamu wa studio ya kisasa (master studio). baada y awiki moja studio itafunguliwa na watatoa ufafanuzi zaidi. chama hicho mpaka sasa kina wanachama 105 na bado kinahitaji wasanii zaidi NA HAKUNA MSANII ALIEKATAZWA KUJIUNGA NA CHAMA HICHO

BABY MADAHA KAENDA KUTIBIWA KWA BABU LOLIONDO!!!

Baby madaha alienda loliondo na amekunywa kikombe cha babu "nawasahauri wenzangu wenye matatizo muende, maana huyu babu ni mtanzania na sio kwamba eti ni ukimwi tu hapana, ukiwa na kisukari, pressure na kadhalika utaweza kutibiwa" amesema baby madaha

MGONJWA HUYU KAPONA UKIMWI KWA BABU LOLIONDO!!!

 Mgonjwa wa kwanza kutibiwa na Mchungaji, akijulikana kwa jina la Wilia John Lnngume (30) anayedai kupona ukimwi baada ya kunywa dawa hiyo

DAKTARI Joachiam Mbosha wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Ngorongoro ya Wasso, amethibitisha kuwa mmoja wa wagonjwa wa Ukimwi aliyekwenda kutibiwa kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapile, maarufu kwa jina la 'Babu', huko Samunge, Loliondo amepona Ukimwi.


KILA KITU CHA ARUSHA NOMAAAA!!!!!!

Wengi tumezoea kuskia cha A Town sio? sasa hiki ni kingine tena kutoka A Town, LOLIONDOOOOOOO

Tuesday, March 1, 2011

DOGO JANJA ATANDIKWA MITAMA NA MWALIMU WAKE

 wiki iliyopita msanii mdogo kuliko wote Bongo, Abdul Azizi (Dogo janja) alipokea kipigo cha ngumi mateke pamoja na mtama kutoka kwa mwalimu wake wa shule aliyopo (Makongo high school).kwa maelezo ya dogo janja ni kuwa alikuwa akiongea na wanafunzi wenzake kabla ya kuskia mtu akimuita "Dogo Jinga mjoo hapa" kumtizama akaona ni mtu tu asieyenamuonekano wa uwalimu amevaa mlegezo ndipo akamjibu "Kubwa jinga nakuja" ndipo mwalim huyo alipomsubiri wakati wa paredi na kumfanyia mbaya.

Sunday, February 27, 2011

TAZAMA HIZI MEZA KAMA WEWE NI MBUNIFU!!!!!

HII NI MUGUU YA PUNDA AU NG'OMBE????

HUYU SIJIU NI NG'E ?

KUTU CHA ENGINE HICHO HAPO SASA, KAMA VIPI GARI YAKO IKUBUMA ENGINE TUNAFANYIA KAZI HII!!

HUYU KAMA SIO FLAMINGO SIJUI ATAKUWA NDEGE GANI???

KUTU CHAGUTA PALE KATI!!!!! NI PROBLEM

JAPAN MOJA HIYO!!!

WALE WAPENZI WA TOTOZZZZZ SIO MBAYA KAMA PALE HOME UKIWA NA MEZA YA IVI UITUPIE MACHO PALE UNAPOTAKA KUONA U-LEG WA UKWELI PALE CHINI YA MEZA  

HUYU UTANITAJIA JINA LAKE KWENYE COMMENT HAPO CHINI!!!!

Saturday, February 26, 2011

OVERHEAD PROJECTOR (OHP)

POLE SANA MR. MANYERERE KWA KUONDOKEWA NA MKE WAKO MPENDWA

NI TAKRIBANI MWEZI MMOJA SASA TANGU UONDOKEWE NA MTOTO WAKO MPENDWA NA SIKU YA LEO SIKU NGUMU SANA KWAKO KWA KUONDOKEWA NA MKE WAKO MPENDWA, KWA AKILI ZA KIBINADAMU UNAWEZA KUFIKIRI MENGI LAKINI MUNGU ANAMAANA  NA MALENGO  YAKE JUU YA YOTE YALIYOTOKEA KATIKA FAMILIA YAKO! 

WANAFUNZI WA CHUO KUKUU CHA DAR-ES-SALAAM SEHMU YA IRINGA (MUCE) TUNAKUPA SALAM ZETU ZA RAMBIRAMBI NA KUWA NAWE KATIKA KIPINDI HIKI CHOTE KIGUMU.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!/ INNA ILLAH WA INNA ILEYH RAJIUNH!

Thursday, February 24, 2011

What up ma people????

Salaam zangu kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu kwa wote wanaojiandaaa na mitihani ya kumaliza semista, nawatakia kila laheri katika kuifanya mitihani hiyo, 

Wednesday, February 23, 2011

CHOMBO KIPYA KATIKA INDUSTRY YA MOVIE

Anaitwa SHILOLE, nyota mpya kabisa kwenye filamu ambayo inachipukia.. ameshaonekana kidogo kwenye Black sunday na pia kwenye wimbo wa TOP C unaoitwa ULOFA..

"DIAMOND AACHE UTOTO ANAPOKWENDA KUFANYA MAHOJIANO KWENYE VYOMBO VYA HABARI" asema mr. Chocolateflavour

Baada ya Msanii Diamond kuongea kwenye radio na kusema kwamba Producer Bob Junior aka Rais wa Masharobaro kutoka studio za Sharobaro amemkatalia kurekodi wimbo wa Gongo la Mboto. Bob Junior amenicheki kwenye simu usiku huu na kuniambia yafuatayo:
"Kama nilivyo sema me naumwa na sikio halisikii kabisa ndo nikamwambia nikiwa poa tuta fanya yeye anaenda anaongea mambo yasio na msingi men imeni pain sana choka ndugu yangu coz hili swala hata me limeni gusa hata me pia msanii nili plan kuimba kuhusu haya maafa kila mtu hili swala limemshtuwa so awe anaacha utoto akienda kwenye mediaz asiwe anaropoka na kuwaaribia watu sijapenda na roho imeniuma sana"

RAY-C AFUNGUKA NA KUMTAJA MPENZI WAKE MPYA

 Mwanadada Ray C ambaye mwazo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake kutoka kundi la N2N Soldiers Lord Eyes kwa muda wa miaka 4, katika kipindi cha Amplifaya kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo kutoka Clouds FM, Ray C amefunguka na kumtaja mpenzi wake mpya wa sasa hivi. Nanukuu, "Jamaa huyo naogopa kumtaja coz wataniibia na nampenda sanaaaa, anajulikana kwa jina la Mr. Masasi hakuna anayemfahamu, kwa sasa nakimbilia miaka 29 so kama ni kuolewa nitawajulisha"

Tuesday, February 22, 2011

WAZIRI NCHIMBI AKIWA ZIARANI UHOLANZI HAPO JANA.

Mhe. Emmanuel J. Nchimbi, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo alipotembelea AFC Ajax ya Amsterdam, Uholanzi hapo jana tarehe ya 22/02/2011 hapa akiwa na mjumbe wa bodi ya AFC ajax Mr.Henry katika moja ya viwanja vya michezo kwaajili ya program ya Spots Academy.
Mhe.waziri akiwa na makocha wa AFC ajax katika chumba cha mazoezi ya viungo cha club hiyo.
 

THIN LINE BETWEEN LOVE AND HATE


baada ya kufunguka kwa uwazi kupitia kipindi fulani cha radio fulani tz jaffarai ameendelea kufunguka kupitia ukurasa wa facebook
"nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana".

DIAMOND NA MRISHO MPOTO WAACHIWA HURU TOKA MIKONONI MWA POLISI.

Baada ya kupelekwa kituoni kwa kile kilichodaiwa kurecord video ya maafa eneo la gongo la mboto na kurecord vipande vya mabomu ambavyo bado vilikuwa vipo maeneo ya jirani, hatimae wameruhusiwa kuitumia video hiyo baada ya kufanyiwa uchunguzi ila amethibitisha kuwa kuna vipande ambavyo vimetolewa na havitaonekana kwenye video hiyo ya ngoma yao inayoitwa gongo la mboto. 

BREAKING NUZZZ!!!!!!!!!!

Habari zinasema kuwa huko Arusha kumekuwako na maandamano ya CHADEMA yanayomkataa Meya asubuhi hii, Ambapo mabomu yamepigwa kuwatawnya waandamanaji hao katika maeneo ya ofisi za manispaa ya mji wa Arusha waliokuwa wakielekea barabara ya boma huku wakuimba nyimbo za kutomtambua meya huyo wa Arusha.
  Maandamano hayo yamipita katika maeneo ya jiji la Arusha huku wakisindikizwa na gari la polisi kwa amani!! mara ghafla mabomu ya machozi yakaanza kurushwa ili kuwatawanya waandamanaji hao!!!
                                                           Habari kamili nafuatilia...............................!!!!!!

Monday, February 21, 2011

MAISHA MAGUMU UKICHANGANYA NA BANGI HUWA HIVI!!!!!!!!!!!

Alisikika akijisifu kuwa yeye ni kioo cha jamii na tena ni darubini kali inayoona mbali!!! Sasa hiki ni kioo cha jamii kweli na ndivyo tulivyo kubaliana???? 

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii