Search This Blog

Tuesday, February 22, 2011

WAZIRI NCHIMBI AKIWA ZIARANI UHOLANZI HAPO JANA.

Mhe. Emmanuel J. Nchimbi, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo alipotembelea AFC Ajax ya Amsterdam, Uholanzi hapo jana tarehe ya 22/02/2011 hapa akiwa na mjumbe wa bodi ya AFC ajax Mr.Henry katika moja ya viwanja vya michezo kwaajili ya program ya Spots Academy.
Mhe.waziri akiwa na makocha wa AFC ajax katika chumba cha mazoezi ya viungo cha club hiyo.
 

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii