Search This Blog

Wednesday, February 23, 2011

RAY-C AFUNGUKA NA KUMTAJA MPENZI WAKE MPYA

 Mwanadada Ray C ambaye mwazo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake kutoka kundi la N2N Soldiers Lord Eyes kwa muda wa miaka 4, katika kipindi cha Amplifaya kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo kutoka Clouds FM, Ray C amefunguka na kumtaja mpenzi wake mpya wa sasa hivi. Nanukuu, "Jamaa huyo naogopa kumtaja coz wataniibia na nampenda sanaaaa, anajulikana kwa jina la Mr. Masasi hakuna anayemfahamu, kwa sasa nakimbilia miaka 29 so kama ni kuolewa nitawajulisha"

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii