Search This Blog

Wednesday, February 23, 2011

"DIAMOND AACHE UTOTO ANAPOKWENDA KUFANYA MAHOJIANO KWENYE VYOMBO VYA HABARI" asema mr. Chocolateflavour

Baada ya Msanii Diamond kuongea kwenye radio na kusema kwamba Producer Bob Junior aka Rais wa Masharobaro kutoka studio za Sharobaro amemkatalia kurekodi wimbo wa Gongo la Mboto. Bob Junior amenicheki kwenye simu usiku huu na kuniambia yafuatayo:
"Kama nilivyo sema me naumwa na sikio halisikii kabisa ndo nikamwambia nikiwa poa tuta fanya yeye anaenda anaongea mambo yasio na msingi men imeni pain sana choka ndugu yangu coz hili swala hata me limeni gusa hata me pia msanii nili plan kuimba kuhusu haya maafa kila mtu hili swala limemshtuwa so awe anaacha utoto akienda kwenye mediaz asiwe anaropoka na kuwaaribia watu sijapenda na roho imeniuma sana"

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii