Utata kuhusu vyombo vya mziki vilivyotolewa na raisi Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii nchini , umechukua sura mpya baada ya chama cha Tanzania Fleva Unit (TFU) kujitokeza na kudai kuwa vyombo hivyo viko chini yao na hakuna msanii yeyote aliyekatazwa kujiunga na chama hicho.
makamu mwenyekiti wa chama hicho Banana Zorro amesema vifaa hivyo nipo chini yao ikiwa ni pamoja na m tambo wa kufyatulia CD ambavyo vimehifadhiwa sehem na sasa tayari wameshampata producer kutoka uingereza ambae ni mtaalamu wa studio ya kisasa (master studio). baada y awiki moja studio itafunguliwa na watatoa ufafanuzi zaidi. chama hicho mpaka sasa kina wanachama 105 na bado kinahitaji wasanii zaidi NA HAKUNA MSANII ALIEKATAZWA KUJIUNGA NA CHAMA HICHO
No comments:
Post a Comment