Search This Blog

Tuesday, February 22, 2011

DIAMOND NA MRISHO MPOTO WAACHIWA HURU TOKA MIKONONI MWA POLISI.

Baada ya kupelekwa kituoni kwa kile kilichodaiwa kurecord video ya maafa eneo la gongo la mboto na kurecord vipande vya mabomu ambavyo bado vilikuwa vipo maeneo ya jirani, hatimae wameruhusiwa kuitumia video hiyo baada ya kufanyiwa uchunguzi ila amethibitisha kuwa kuna vipande ambavyo vimetolewa na havitaonekana kwenye video hiyo ya ngoma yao inayoitwa gongo la mboto. 

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii