Search This Blog

Tuesday, February 22, 2011

BREAKING NUZZZ!!!!!!!!!!

Habari zinasema kuwa huko Arusha kumekuwako na maandamano ya CHADEMA yanayomkataa Meya asubuhi hii, Ambapo mabomu yamepigwa kuwatawnya waandamanaji hao katika maeneo ya ofisi za manispaa ya mji wa Arusha waliokuwa wakielekea barabara ya boma huku wakuimba nyimbo za kutomtambua meya huyo wa Arusha.
  Maandamano hayo yamipita katika maeneo ya jiji la Arusha huku wakisindikizwa na gari la polisi kwa amani!! mara ghafla mabomu ya machozi yakaanza kurushwa ili kuwatawanya waandamanaji hao!!!
                                                           Habari kamili nafuatilia...............................!!!!!!

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii