Search This Blog

Saturday, February 19, 2011

NDUGU ZETU WA GONGO LA MBOTO WAKIREJE MAKWAO MARA BAADA YA MILIPUKO YA MABOMO.

Bodaboda ikitoa huduma kwa familia moja Hasubui ya jana kuwarejesha nymban kwao baada ya kujibanza mahali fulani kufuatia milipuko ya mabomu uliotokea huko gongo la mboto.
Mabasi nayo yalikua yakitoa huduma kwa waanga wa mabomu ya gongo la mboto kuwarudusha makwao kwani watu wengi walijikuta wako mbali na makazi yao ili kunusuru maisha yao.




Waandishi wa habari nao hawakua nyuma kudandia usafiri wa kuwapeleka huku na kule kati harakati za kutafuta habari ili waweze kuwaarifu wananchi kinachojiri mitaani baada ya milipuko iliyotokea katika kambi ya jeshi JWTZ Gongo la mboto jijini Dar -es-salaam. 



No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii