Search This Blog

Saturday, February 19, 2011

MATOKEO YA MILIPUKO ILIYOTOKEA GONGO LA MBOTO

Hii ndio nyumba ya mama yake msanii wa bongo fleva profesa Jay inavyoonekana mara baada ya milipuko, Nyumba hii ipo maeneo ya Ukonga jijini Dar-es-salaam.
Nyumba hii imeua watu zaidi ya watano ambao walikimbilia ili kupata hifadhi marabaada ya milipuko hiyo kuaanza! bahati haikuwa nzuri kwao hivyo mlipuko ulidondoka juu ya paa na kusababisha maafa makubwa. 

Ukishangaa ya musa ama hakika utastaajabu ya firauni! mabomu haya bado hayajalipuka na yalichelewa kutokewa mahali hapo ambapo ni karibu kabisa na makazi ya watu kama inavyoonekana pichani.

Mabaki ya duka la vifaa vya umeme daada ya muto kuzima uliosababishwa na milipuko ya mabomu maeneo ya gongo la mboto.

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii