Search This Blog

Sunday, February 20, 2011

HALI ILIKUWA HIVI WAKATI WA MILIPUKO USIKU WA TAREHE 17/02/2011

Kinachoonekana kenye picha ni milipuko ya mabomu kutoka katika kambi ya jeshi(JWTZ-Gongo la mboto)jijin Dar-Es-Salaam usiku wa tarehe 17/02/2011.
Hali iliendelea hivi kwa muda wa saa kadhaa na kujaza hofu kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo na hivyo kuamua kuondoka ili kuyanusuru maisha yao.Hata hivyo wapo waliopoteza maisha yao papohapo na wenngine kujeruhiwa.

1 comment:

  1. baba kweli hali ilikuwa mbaya tena sana hata hali ya hewa inaonekana ilibadilika kama vp mungu awe nawe kwa kila jamboa tufanye kazi kwa pamoja(www.wamasaiwajanja.blogspot.com)

    ReplyDelete

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii