Search This Blog

Saturday, February 19, 2011

KIKWETE ALIPOTEMBELEA GONGO LA MBOTO

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete  alipo tembelea kambi ya jeshi JWTZ na kujionea madhara yaliyotokea Gongo la mboto hapo juzi akiongea na waandisha wa habari akiwapa pole waanga wote wa milipuko ya mabom.

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii