Search This Blog

Saturday, February 19, 2011

POLE SANA KIJANA!!

Makamu wa raisi akimfariji muhanga wa mabomu katika hospitali ya Muhimbili aitwaye Devis Gwaga (15) mwanafunzi wa kidatu cha tatu katika shule ya sekondari Ilala kufuatia milipuko ya mabomu kutoka katika kambi ya JWTZ Gongo la Mboto.

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii