Search This Blog

Sunday, February 20, 2011

WASHIRIKI WA MASHINDANO YA KISURA WATEMBELEA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR.

Washiriki wa mashindano ya kisura 2011 wakiwa katika picha ya pamoja na mganga mkuu wa hospitali hiyo Bw.Meshack Shemwela aliyesimama kwa nyuma upande wa kushoto na aliye mbele katikati ni mganga mkuu wa hospitali ya ilala Bi. Asha Mahita 


Rais wa RBP GROUP Rahma Al-kharoos akizungumza mbele ya waandishi wa habari katika hospitali ya Amana,Ilala,Jijini Dar, wakati walipo wasili hapo wakitoa misaada mbalimbali kwa wodi ya wazazi ikiwa ni pamoja na kwa waathirika wa milipuko ya mabomu iliyotokea usiku wa tarehe 17 febr. 2011 huko Gongo la mboto




No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii