Search This Blog

Monday, February 21, 2011

MUSEVENI APETA UCHAGUZI UGANDA,

  

Tangazo rasmi limetolewa kuwa Rais Museveni ndiye aliyeibuka kidedea katika uchaguzi wa rais nchini Uganda.
Tume ya taifa ya uchaguzi ilitamka kwamba Yoweri Museveni ameshinda kura za uchaguzi wa ngazi za rais kwa asilimia 68 katika uchaguzi uliofanyika ijumaa wakati mpinzani wake Bw.Kizza Besigye akiambulia asilimia 26 ya kura zote zilizopingwa. Hata hivyo Kizza amekataa kukubaliana na matokeo hayo na kutamka kuwa kulikuwa na udanganyifu katika shughuli hiyo ya upigaji kura.
Chama kilichopo madarakani kimetuhumiwa kuwa kimetumia rasilimali zake kuwahonga wapiga kura. 

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Watu waliotembelea Blog hii